Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Mkutano wa Wanachuoni wa Kiislamu wa Tanzania katika Maadhimisho ya Miaka 100 ya Kufufuliwa kwa Chuo Kikuu cha Dini cha Qom.
11 Mei 2025 - 14:45
News ID: 1557005
Sambamba na kuadhimisha kongamano la kitaifa la "Miaka 100 ya Kufufuliwa upya kwa Chuo Kikuu cha Dini cha Qom" na kumuenzi Ayatollah Sheikh Abdulkarim Haeri (r.a), Mwanzilishi wa Chuo cha Qom, wanachuoni wa Kiislamu kutoka Tanzania walikusanyika kwa pamoja kushiriki kwenye tukio hilo muhimu katika Ukumbi wa Jamiat Al-Mustafa (as) - Dar-es-salaam, Tanzania.
Your Comment